Deuteronomy 3:8-9

8 aHivyo kwa wakati huo tukachukua kutoka kwa wafalme hawa wawili wa Waamori nchi ya mashariki ya Yordani, kutoka Bonde la Arnoni mpaka kufika kwenye Mlima Hermoni. 9 b(Wasidoni huuita mlima huo Sirioni, nao Waamori huuita Seniri.)
Copyright information for SwhNEN